Tuesday 14 October 2014

Diamond Platnumz Afunguka Kiundani Juu ya Tetesi za Kuwa na Ugomvi na Ali kiba

Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa zamashabiki waliogawanyikana kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’ ambayo Nasib Abdulamedai kuwa haipo.Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa inazungumzwa baina yake na muimbaji huyo wa ‘Mwana’.“Nimekua nikiskia muda mrefu vimezungumziwa sana, kwenye mitandao katika nini, sijui kwanini vinazungumziwa hivyo” aliiambia 255 ya XXL ya Clouds Fm “Unajua kuna time ikifika inabidi uangalie na kuna vitu uvizoee tu sababu havikuanza leo hivi vitu siotu kwa Ali, ukiwa unafanya vizuri ni msanii yeyote ambaye atakuwepo nae anafanya nyimbo au akatoa nyimbo yaani utakuja utashindanishwa nae tu, atakuja huyu na huyu na huyu, lakini wewe mwenyewe tu kuangalia heshima yako iko wapi kuangalia kazi zako unazifanyaje ubora wake”.“Tangia mwanzo yaani inavyoanza ishagatokeaga hivyo ilikua sijui kwa Belle 9, ilitoka kwa Belle 9 ikaja nafikiri sijui Sam Wa Ukweli ilikua, ikaja sijui kwa Bob Junior, ikaja pia kwa Ali, ikatoka kwa Ali tena ikaja ikaondoka ikaenda kwa Omary I mean Ommy Dimpoz, ikatoka tena ikaja kwa Richard Mavoko, so kila time inavyokuwa inaenda unafanya vizuri hivyo vitu vinakua vinatokea, so ni we mwenyewe kuangalia na watu wasiokuwa na upeo wanaweza wakahisi hawa watu wana tatizo kumbe si tatizo ni vitu ambavyo vitakuwepo tu kwasababu mashabiki wana tabia wakiona mtu anafanya hichi na we unafanya kitu mkiwa katikakazi inayofanana hivyo vituvitatokea yaani watu watashindanisha, unaweza hata ukashindanishwa na mtu ambae hata hakufikii kiwango kabisa”.“Hata kwenye boxing ipo, ukiangalia hata kuna kipindi ilikuwa TMK na East Coast, ilikuwaga kwa Dully na T.I.D hivi ni vitu vya kikazi hata kwenye mpira ndio maana kuna Simba na Yanga, lakini haimaanishi Simba na Yanga ni maadui wakikutana Ngassa ntakupiga ngumi au flani ah ah..”Diamond amesema kuwa kama Alikiba alikuwa na tatizo na yeye anaamini angeweza kumfata na kumwambia sababu amefahamiana nae kabla hajakuwa mwanamuziki.“Sasa hivi yaani karibia mwaka wa tano, Mi tangia nianze kufanya muziki sijawahi kudrop kila siku nazidi kupanda juu…so hivyo vitu lazima vitatokea lazima nivikubali, inawezekana we unasema we unasema we hauna tatizo lakini mwenzio akawa anahisi wewe una tatizo nae, lakini naamini kama angekuwa anahisi kama mimi nina matatizo na yeye angenifata akaniambia kwa sababu mimi sijajuana na Ali kwenye muziki, nimejuana na Ali kabla sijakuwa mwanamuziki, nimemjua Ali kupitia dada yangu Queen Darleen so alikuwa an uwezo wa kunifata akaniambia personally kwamba bana umefanya hichi na hichi na hichi”.Diamond amemaliza kwa kusema kuwaomba media na mashabiki wasifanye ionekane kama wana beef binafsi bali wazishindanishe kazi ili kukuza muziki wa Tanzania.“Ukiniuliza mimi kiundani kabisa siamini kama kutakua na tatizo la damu ya mtu na mtu, bali ni vitu ambavyo vipo vya kisanaa au vya kimashabiki kwa mashabiki. Mi nasisitiza sana media na watu wasitengeneze kufanya kama ni matatizo ya mtu namtu kwasababu kisanaa inakua haijengi, lakini inapokuwa ni baina ya kazina kazi inakua inasaidia kwasababu inafanya watu wawe na changamoto ya kusema ngoja nitoe kazi kali ili nifanye kitu kizuri inasababisha muziki wetu ukue.”


Posted via mutashobya jr

Monday 13 October 2014

BREAKING NEWZ

BREAKING NEWZ
Wakazi wa tabata shule wajazana katika kituo cha polisi kilichopo tabata shule baada ya kusadikika kuwa kuna watoto wa shule wametekwa na kupakizwa kwenye gari aina ya nooha.


Posted via Blogaway

Tuesday 30 September 2014

DAMIAN MARLEY & NAS- SABALI(PATIENCE)LYCIS

[Nas Talking - Intro]
Here we are
here we are
Yeah
This one right here is for the people

[Hook] (Sample -MAMADOU & MARIAM, “SABALI”)
Sabali, Sabali, Sabali, yonkonte
Sabali, Sabali, Sabali, kiye
Ni kera mogo
Sabali, Sabali, Sabali, yonkonte
Sabali, Sabali, Sabali, kagni
Ni kera mogo

[Nas Talking]
Ay yo D. Lets go all the way on this one.

[Damian Marley - Verse 1]
Some of the smartest dummies
Can’t read the language of Egyptian mummies
An’ a fly go a moon
And can’t find food for the starving tummies
Pay no mind to the youths
Cause it’s not like the future depends on it
But save the animals in the zoo
Cause the chimpanzee dem a make big money
This is how the media pillages
On the TV the picture is
Savages in villages
And the scientist still can’t explain the pyramids, huh
Evangelists making a living on the videos of ribs of the little kids
Stereotyping the image of the images
And this is what the image is
You buy a khaki pants
And all of a sudden you say a Indiana Jones
An’ a thief out gold and thief out the scrolls and even the buried bones
Some of the worst paparazzis I’ve ever seen and I ever known
Put the worst on display so the world can see
And that’s all they will ever show
So the ones in the west
Will never move east
And feel like they could be at home
Dem get tricked by the beast
But a where dem ago flee when the monster is fully grown?
Solomonic linage whe dem still can’t defeat and them coulda never clone
My spiritual DNA that print in my soul and I will forever Own Lord

[Hook]

[Nas talking]
Yeah, Sabali. Thats patience. That’s what the old folks told me…
Discovering the World before this World. A World buried in time.
Uncover with rhymes. It gets no realer.

[Damian Marley: Verse 2]
Huh, we born not knowing, are we born knowing all?
We growing wiser, are we just growing tall?
Can you read thoughts? can you read palms?
Huh, can you predict the future? can you see storms, coming?
The Earth was flat if you went too far you would fall off
Now the Earth is round if the shape change again everybody woulda start laugh
The average man can’t prove of most of the things that he chooses to speak of
And still won’t research and find out the root of the truth that you seek of
Scholars teach in Universities and claim that they’re smart and cunning
Tell them find a cure when we sneeze and that’s when their nose start running
And the rich get stitched up, when we get cut
Man a heal dem broken bones in the bush with the wed mud
Can you read signs? can you read stars?
Can you make peace? can you fight war?
Can you milk cows, even though you drive cars? huh
Can you survive, Against All Odds, Now?

[Hook]

[Nas]
It’s crazy when you feed people the truth you don’t know how they’re gonna react. You’re scared of wrong doers, people that just ignorant, You’re scared of the truth, be patient for now.

[Nas: Verse 3]
Who wrote the Bible? Who wrote the Qur’an?
And was it a lightning storm
That gave birth to the Earth
And then dinosaurs were born? damn
Who made up words? who made up numbers?
And what kind of spell is mankind under?
Everything on the planet we preserve and can it
Microwaved it and try it
No matter what we’ll survive it
What’s hue? what’s man? what’s human?
Anything along the land we consuming
Eatin’, deletin’, ruin
Trying to get paper
Gotta have land, gotta have acres
So I can sit back like Jack Nicholson
Watch n-ggas play the game like the lakers
In a world full of 52 fakers
Gypsies, seances, mystical prayers
You superstitious? throw salt over your shoulders
Make a wish for the day cuz
Like somebody got a doll of me
Stickin’ needles in my arteries
But I can’t feel it
Sometimes it’s like ‘pardon me, but I got a real big spirit’
I’m fearless…. I’m fearless
Don’t you try an


Posted via Blogaway

Tuesday 16 September 2014

SIO SIRI TENA AUNT EZEKIEL NA MOZE IYOBO DANCER WA DIAMOND WANASWA LIVE KIMAHABA AIRPORT

Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.





Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea Uwanja wa ndege.Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho, lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja kimahaba eneo hilo.
Aunt ambaye ni mke  wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.
Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana.”Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaroanadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda.


Aunt Ezekiel na Moses Iyobo wakiagana Uwanja wa ndege.Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.
Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao, akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.
Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.


Aunt Ezekiel akipozi kwenye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao, akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.
Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.


Posted via Blogaway

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DCM MBAGALA

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 Cpl Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, leo asubuhi.

Habari zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa hospitali ya Muhimbili na hali yake inaendelea vizur


Posted via Blogaway

WALIOKUFA KWENYE KANISA LA NABII TB JOSHUA WAFIKIA 50!

Idadi ya watu waliokufa kwenye ghorofa la makao makuu ya Kanisa la SCOAN (Synagogue Church of All Nations) la Nabii TB Joshua wamefikia 50.
Jengo hilo la ghorofa tano ambalo ni makao makuu ya kanisa na nyumba ya kulala wageni liliporomoka Jumamosi  wakati ujenzi ukiendelea.Hadi kufikia jana Jumapili jumla ya watu 41 walikuwa wameripotiwa kufa, lakini maiti nyingine tisa zimeongezeka leo hii.Inaelezwa kwamba, mhubiri huyo wa kimataifa alipewa kibali cha kujenga ghorofa mbili, lakini mwenyewe akaamua kujenga ghorofa tano.Uokoaji bado unaendelea na watu wengine 124 walikuwa wameokolewa wakiwa hai hadi kufikia jana Jumapili.

Mmoja wa majeruhi waliookolewa kwenye kanisa hilo akiwa hajitambui.
Jengo hilo liko katika eneo la Ikotun magharibi mwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Lagos.


Posted via Blogaway

Saturday 13 September 2014

MTAZAME DIAMOND AKIBONGA KIZUNGU ALIPOKUWA AKIHOJIWA NA COKE STUDIO

Join Diamond Platnumz who makes a return to Coke Studio Africa Season II and Yemi Alade as they answer questions from the fans online and tell us more about their musical journey.
 http://m.youtube.com/watch?v=iQRWDFYL9gI 


Posted via Blogaway

SUPPORT OUR ARTIST.OUR BROTHER

The Heavy Weight MC, Professor Jay, seems to have found extra energy on everything. If I was to put him against a Duracell’s Bunny, I am sure the Bunny will quit in first round. It’s back to back for him.
This weekend, Saturday 13th September 2014 at Ten Lounge [formerly known as Letasi Lounge] located at Business Park Victoria, Prof. will be launching not one but TWO videos for his recent hit singles, Kipi Sijasikia and Tatu Chafu. Prof…of course will perform Live alongside other surprise performance and celebrities appearances. You gotta be G!
If you keep up with your calendar like how E channels keeps up with The Kardashians, you probably know that its the same day TBE Floyd “Money” Mayweather will be defending his title[s] against Argentinian Maidana. You will also be able to watch that fight from the same venue! That gotta be an awesome event.
Be Sociable, Share!

Diamond kuchuana tena na Davido kwenye tuzo za MTVEMA

Msimu wa tuzo za MTV Europe MTVEMA uko mbioni na tayari majina manne ya wasanii watakaowania tuzo hizo yameshatolea, Diamond Platnumz akiwa ni mmoja wapo


Diamond atakuwa akichuwana kwa mara nyingine tena na msanii kutoka Nigeria Davido, Goldfish
(south Africa) pamoja na Toofan (Togo)
EMA wametoa nafasi na kuwapa nguvu mashabiki na wapenda mziki wote duniani kumchagua mshiriki atakaekuwa wa tano katika kipengele hicho (Best African Act) kupitia mitandao ya kijamii wakimchagua kutoka katika list hii ya wasanii


Anselmo Ralph - #NominateAnselmoRalph
Gangs of Ballet - #NominateGangsOfBallet
Mafikizolo - #NominateMafikizolo
Sarkodie - #NominateSarkodie
Sauti Sol - #NominateSautiSol
Tiwa Savage - #NominateTiwaSavage

upigaji kura umeshaanza na uko wazi mpaka tarehe 14 September 2014 @ 11:59 CAT.  Majina yote ya watakaokuwa wakiwania tuzo hizo yatatangazwa  na upigaji kura utakuwa wazi kuanzia  16 September 2014.

Tuzo hizo za  MTV EMA” zitarushwa live na MTV Channel 130 jumapili 9 November  22:00 CAT kutooka Glasgow, Scotland

Monday 8 September 2014

AJARI MBAYA YATOKEA LEO.

HABARI ZA HIVI PUNDE!! AJALI NYINGINE MBAYA MAENEO YA KIEGEYA GAIRO, GARI LA ABIRIA KUTOKA DAR-TABORA LIMEPATA AJALI MBAYA KIASI KWAMBA WATU KARIBIA 48 WAMEPOTEZA MAISHA. NI DK 6 ZILIZOPITA..PICHA HAZIFAI KUONWA NA MIMI NIKO ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA UOKOZI..VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI TUNAO HAPA..KWAKWELI NI MAJONZI VILIO NK.
Air BUS DAR-TABORA.