Sunday 6 April 2014

Wakali wa kundi la mafikizolo usiku wa kuamkia leo wakipiga show ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu ilifurika ukumbini kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizolo

mdada akifanya yake

...Wakali wa kundi la mafikizolo wakiwa kwa stage ni makamuzi tu.
...Nyomi ya watu ilifurika ukumbini.
Jamaa Akifanya Yake
Mashabiki wa Mafikizolo wakicheza moja ya wimbo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Usiku wa kuamkia leo.
  source:GPI

No comments:

Post a Comment